07
Nov

DKT. MWIGULU: ZAIDI YA SH. BILIONI 330 ZAINGIA MFUKO WA BARABARA NDANI YA MWEZI MMOJA

 Akemea watoto chini ya miaka mitano kutozwa fedha za matibabu WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema zaidi ya shilingi bilioni...

Read More
07
Nov

DKT. MWIGULU: SERIKALI YAANZA KULIPA WAFUGAJI WALIOSHINDA KESI ZA MIFUGO

Malipo ya takribani shilingi bilioni 3.8 yaanza Ununuzi wa pamba kuwa huru msimu unaokuja WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema...

Read More
04
Nov

DKT. MWIGULU AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA DRC

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemkorasi ya Kongo (DRC), Judith Suminwa Tuluka na...

Read More
04
Nov

WAZIRI MKUU AAGIZA TAASISI ZA UMMA ZITUMIE BIDHAA ZA NDANI

· Ataka mianya ya sheria inayokwamisha matumizi yake irekebishwe Asisitiza kuheshimiwa kwa sekta binafsi na mitaji ya wawekezaji WAZIRI MKUU...

Read More
01
Nov

WAZIRI MKUU AAGIZA MPANGO WA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA TAASISI ZA DINI KATIKA ELIMU

Asema Serikali inathamini mchango wa taasisi za dini katika maendeleo WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amemwelekeza Waziri wa Elimu, Sayansi...

Read More
31
Oct

DKT. MWIGULU AREJEA NCHINI AKITOKEA URUSI

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amerejea nchini leo, Oktoba 31, 2026, akitokea Moscow, Urusi, ambako alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya...

Read More
30
Oct

TUANGALIE MUSTAKABALI WA VIJANA WETU – WAZIRI MKUU

Ataka viongozi wa Afrika wazingatie uwezo mkubwa walionao vijana Ashawishi matumizi ya Kiswahili kwenye mikutano ya jukwaa hilo WAZIRI MKUU...

Read More
29
Oct

WAZIRI MKUU ASHIRIKI MKUTANO WA PAMOJA WA URUSI NA AFRIKA

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, jana Oktoba 28, 2026, ameshiriki katika kutembelea maonesho wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa tatu...

Read More
23
Oct

DKT. MWIGULU AKARIBISHA WAWEKEZAJI KATIKA KILIMO TANZANIA

776bc576-447c-48c7-bb48-e37ffd155f74 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewakaribisha wawekezaji kutumia fursa zilizopo Tanzania katika uzalishaji na usindikaji wa mazao, umwagiliaji, pembejeo,...

Read More
23
Oct

DKT. MWIGULU: USALAMA WA CHAKULA NI USALAMA WA TAIFA

c1900473-058c-4f99-a605-cfc09d2f8cb8Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema usalama wa chakula ni msingi wa usalama wa taifa na uthabiti wa uchumi. Amesisitiza...

Read More