Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe, wamekutana na kujadiliana na watalaamu wa Wizara hizo mbili kuhusiana masuala ya kibajeti na sera katika kuboresha Sekta ya Kilimo nchini, katika ofisi ya Wizara ya Fedha, jijini Dodoma.

Share Story

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *