Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) (kulia) amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NCBA Tanzania, Bw. Claver Serumaga, baada ya kukutana katika Ofisi ya Waziri wa Fedha Treasure Square, jijini Dodoma, ambapo wamezungumza kuhusu ushirikiano kati ya Benki hiyo na Serikali katika kuchangia maendeleo.