Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiwatubia wananchi wa jimbo la ushetu, Mkoani Shinyanga. Katika Hafla ya utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa Usambazaji Maji ya ziwa Victoria kutoka Kahama kwenda Ushetu.

Share Story

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *