Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, anayeziwakilisha pia nchi za Malawi, Zambia na Zimbabwe, Bw. Nathan Belete, katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha Jijini Dar es Salaam, ambapo wamejadili kuhusu utekelezaji wa baadhi ya miradi ya kiuchumi na kijamii inayokusudiwa kufadhiliwa na Benki hiyo ikiwemo ujenzi wa Reli ya Kisasa-SGR.

Share Story