Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiongoza kikao, katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, Jijini Dar es Salaam, kilichomshirikisha Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana, na Ujumbe kutoka Wizara ya Maji, ambapo wamejadili kuhusu namna ya uboreshaji wa Sekta ya Utalii na Huduma za Jamii katika Ukanda wa Kusini. Kikao hicho pia kimemshikirisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi, na Maafisa kutoka Wizara ya Fedha.

Share Story