Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb)(kushoto), akisalimiana na Waziri wa Fedha wa Rwanda, Mhe. Yusuf Murangwa, Nje ya Jengo la Makao Makuu ya Benki ya Dunia, Jijini Washington D.C, ambako inafanyika mikutano mwaka 2025 ya majira ya Kipupwe ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) na Benki ya Dunia.
