Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb)(kulia), akizungumza na Waziri wa Fedha wa Malawi, Mhe. Simplex Chithyola Banda, Nje ya Jengo la Makao Makuu ya Benki ya Dunia, Jijini Washington D.C, wakati wa mikutano ya mwaka 2025 ya majira ya Kipupwe ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) na Benki ya Dunia.

Share Story

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *