WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 16, 2025 amewasili katika uwanja wa ndege wa Songwe.

Mheshimiwa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu atakuwa na ziara ya kikazi katika mikoa ya Songwe na Mbeya tarehe 17 hadi 19, 2025.

Share Story

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *