Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akiangalia bendera ya Tanzania katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN), Jijini New York, nchini Marekani, alipohudhuria Jukwaa la Ufadhili wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa kwa mwaka 2025 (ECOSOC Forum on Financing for Development Follow-Up (FfD Forum), lililowahusisha mawaziri wa Fedha, Mipango, Mambo ya Nje na sekta nyingine pamoja na wadau mbalimbali wa maendeleo yakiwemo mashirika ya Fedha ya Kimataifa kwa ajili ya kufanya tathmini ya utekelezaji wa Maazimio ya Umoja wa Mataifa kuhusu Ufadhili wa Maendeleo.

Share Story

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *