Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akiwa katika Ubalozi wa Tanzania Jijini NewYork nchini Marekani ambapo aliongoza Ujumbe wa Tanzania kushiriki Jukwaa la Ufadhili wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa kwa mwaka 2025 (ECOSOC Forum on Financing for Development Follow-Up (FfD Forum), lililowahusisha mawaziri wa Fedha, Mipango, Mambo ya Nje na sekta nyingine pamoja na wadau mbalimbali wa maendeleo yakiwemo mashirika ya Fedha ya Kimataifa kwa ajili ya kufanya tathmini ya utekelezaji wa Maazimio ya Umoja wa Mataifa kuhusu Ufadhili wa Maendeleo, uliofanyika Makao Makuu yabImojanwa Mataifa, Jijini New York.

Mhe. Dkt. Nchemba, ambaye aliambatana na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban, na Maafisa wengine waandamizi wa Wizara na Mambo ya Nje, alipokelewa na Mkuu wa masualanya Utawala wa Ubalozi huo, Bw. Joachim Otaru.

Share Story

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *