
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, akisikiliza changamoto za wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Lukolongo, Kata ya Mchombe, Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba, mkoani Morogoro, leo (Jumatano, Novemba 25, 2026).