01
Aug

DKT. NCHEMBA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA MKUTANO WA MAWAZIRI WA FEDHA NA UCHUMI WA EAC

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu, ameongoza Ujumbe wa Tanzania katika kikao cha mashauriano ya ndani kuelekea...

Read More
23
Jul

MWENGE WA UHURU WALETA NEEMA SINGIDA, DKT. MWIGULU NCHEMBA ATOA WITO WA UMOJA NA KUIUNGA MKONO SERIKALI

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Ndg. Ismail Ally Ussi, amempongeza Waziri wa Fedha na Mbunge wa Jimbo...

Read More
18
Jul

DKT. NCHEMBA AMEFANYA MAZUNGUMZO NA UJUMBE WA KAMPUNI YA MINARA

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Kampuni ya Minara Tanzania, ulioongozwa...

Read More
14
Jul

DKT NCHEMBA ASHIRIKI MECHI YA HISANI KURUDISHA KWA JAMII.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), ameshiriki mechi ya hisani ya kurudisha kwa jamii iliyoandaliwa na...

Read More
10
Jul

DKT. NCHEMBA AIPONGEZA TRA KWA UFANISI

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa kuna ongezeko kubwa la makusanyo ya kodi mara tu baada...

Read More
08
Jul

DKT. NCHEMBA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA MITATU YA KWSC

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba , ameshiriki Maadhimisho ya Miaka Mitatu (3) ya kuanzishwa kwa Kituo cha...

Read More
01
Jul

DKT. NCHEMBA AWASISITIZA WATUMISHI KUSIMAMIA UCHUMI.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amewaagiza viongozi na watumishi wa Wizara hiyo kuendelea kufanya kazi kwa...

Read More
01
Jul

MHE. DKT. NCHEMBA ASHIRIKI HARAMBE KUU KANISA LA KKKT KANDA YA KATI

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, ameshiriki Harambee Kuu ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kati...

Read More
15
Jun

DKT. NCHEMBA AMUAGA DKT. ADESINA

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ((Mb), ameungana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

Read More
15
Jun

DKT. NCHEMBA: RAIS WA AfDB DKT. AKINWUMI ADESINA NI MWANA THABITI WA AFRIKA

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), ameshuhudia tukio la kumtunuku Dkt. Akinwumi Adesina, Rais anayeondoka wa Benki ya...

Read More