SERIKALI YAWEKA MIKAKATI KUHUSU SUALA LA UHABA WA FEDHA ZA KIGENI
Serikali imesema inaendelea kuweka mikakati na mbinu mbalimbali za muda mfupi, wa kati na mrefu katika kushughulikia changamoto ya uhaba...
Read MoreDKT. NCHEMBA AKUTANA NA WALIMU WAKE WA SEKONDARI YA ILBORU
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), amekutana na walimu wake waliomfundisha katika Shule ya Sekondari Ilboru...
Read MoreMHE. DKT. NCHEMBA ASHIRIKI UFUNGUZI WA MKUTANO WA 35 WA KAMATI YA KUDUMU YA FEDHA YA UN-JIJINI ARUSHA
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) ameshiriki katika ufunguzi wa Mkutano wa 35 wa Kamati ya...
Read MoreMAMLAKA ZA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI ZATAKIWA KUTUMIA FURSA ZILIZOPO KATIKA SHERIA YA PPP
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) ametoa rai kwa Mamlaka za Serikali pamoja na wawekezaji kutoka Sekta...
Read MoreMHE. DKT. NCHEMBA ATETA NA WAZIRI WA KILIMO KUHUSU KUKUZA SEKTA YA KILIMO
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe...
Read MoreSERIKALI KUTATUA CHANGAMOTO ZA WAZABUNI NA WAKANDARASI
Serikali imeeleza kuwa katika bajeti ya mwaka 2023/24, ilitenga jumla ya shilingi bilioni 600 kwa ajili ya kulipa madeni ya...
Read MoreMHE. DKT. NCHEMBA ATETA NA UONGOZI WA CHUO CHA ESAMI
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Uongozi...
Read MoreDKT. NCHEMBA : SERIKALI KUTOA FEDHA ZA UJENZI WA BARABARA KWA KIWANGO CHA LAMI WILAYANI MBULU
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), alikuwa Mgeni Rasmi katika Jubilee ya kutimiza miaka 25 ya Upadre...
Read MoreDKT. NCHEMBA AWEKA JIWE LA MSINGI CHUO CHA UHASIBU ARUSHA KAMPASI YA BABATI
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) ameweka jiwe la msingi kwa awamu ya kwanza kati ya awamu...
Read MoreDKT NCHEMBA APANDA SGR KUWAHI DODOMA
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba Lameck Madelu (Mb), ameungana na abiria wengine kutumia usafiri wa treni ya mwendo...
Read More









