Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amehudhuria hafla ya uwekeaji jiwe la Msingi la ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Uvinza-Kigoma nchini Tanzania hadi Msongati nchini Burundi, hafla iliyofanyika katika Mkoa wa Buringa Nchini Burundi na kushuhudiwa na Rais wa Burundi, Mhe. Meja Gen. Evariste Ndayishimiye na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa.

Share Story

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *