56f5341b-66ed-43bd-9d9a-7ad560b866ff

Wananchi wamepongeza hatua ya Waziri Mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba kusikiliza kero za wananchi na kuzitatua.

Kwa kuweka utaratibu mzuri wa Mapema wa Kupokea kero za wananchi katina Viwanja mbalimbali ambavyo mikutano hiyo inafanyika.

Jambo ambalo lina wapa nafasi kubwa wananchi kuwasilisha Malalamiko yao.

*Tazama kipande hiki cha Video*

Share Story

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *