WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya ziara ya kukagua uharibifu uliosababishwa na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025, mkoani Arusha.
Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amepokelewa na viongozi wa Serikali pamoja na wa Chama.
