Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (kulia kwake) na Waziri wa Fedha, Balozi, Khamis Omar (kushoto) katika kikao cha kazi kilichofanyika ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Januari 3, 2026. Kikao hicho pia kiliwahusisha viongozi na watendaji kutokaTAMISEMI, Wizara ya Fedha na Wizara ya Maji.