Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 20,2026 amefanya mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira, Mhandisi Hamadi Masauni, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.

Viongozi wengine walioshiriki katika mazungumzo hauo ni Naibu Waziri  Ofisi ya Makamu wa Rais –  Muungano na Mazingira, Dkt. Festo Dugange na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa  Rais  – Muungano na Mazingira, Dkt. Richard Muyungi.

Share Story

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *