Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiwa na Rais wa Kenya Dkt. William Ruto pamoja na viongozi wengine baada ya Rais Ruto kulihutubia Bunge jijini Dodoma, Mei 5, 2026.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Share Story

1 Comment

  • Alex mambwe

    Hongera kwa kazi nzuri ya kuijenga Tanzania mweshimiwa kwa majina naitwa alex mambwe mkazi wa singida nimemaliza astashahada ya mipango na maendeleo ya jamii chuo cha mipango na maendeleo vijijini toka mwaka 2023 nimejitahidi kutafuta ajira mpaka sasa lakini sijapata mweshimiwa naomba msaada wako kwani ninachangamoto za za magonjwa katika familia yangu naomba unisaidie mweshimiwa

    Reply

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *