29639e2a-ef8a-4337-8221-943f8beaecc8

Haya yamesemwa na Waziri Mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba wakati akishiriki mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Kambi ya Nyasa Wilayani Chemba Mkoani Dodoma.

Ambapo pia alitumia nafasi hiyo kuwashika mkono baadhi ya wananchi wenye mahitaji maalum akiwemo bwana Mursali Mustafa Isaa ambaye ni mlemavu wa Viungo.

*HAKIKA HILI NI ZAIDI YA TABASAMU*

*Tazama Video hii*

Share Story

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *