Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Mei 30, 2026 amefanya ziara Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida ambapo;
_1. Amekagua maendeleo ya Mradi wa Maji wa Miji 28._
_2. Mradi wa Mnyororo wa Thamani wa Korosho kupitia Kiwanda Darasa cha Kubangua Korosho (KIDAKUKO) cha CAMARTEC._
_3. Pamoja na Kufanya mkutano wa hadhara, eneo la Tambukareli, Manyoni._