b646a928-db9d-45e5-91a3-add9f9d4d0bcNimekuja leo kwa kuwa Serikali inayoongozwa na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inatambua ubia huu muhimu ambao shule yenu imekuwa ikifanya katika sekta ya elimu. Hatuwezi kuyataja mafanikio katika sekta ya elimu bila kutaja mchango wa shule za sekta binafsi-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.

📍Dar es Salaam-Tanzania
🗓️Juni 13, 2026

Amesema hayo katika Mahafali ya 11 ya wahitimu wa Kidato cha Nne (Year 11–IGCSE) wa mwaka wa masomo 2025/2026 ya Shule ya Kimataifa ya Feza

Share Story

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *