7ec0c9ea-5488-45e9-bb20-d3b9dc4b2b69

📍Dodoma, Tanzania
🗓️ Juni 18, 2026

“Mheshimiwa Spika, nitumie Bunge lako Tukufu na kuwahakikishia Waheshimiwa Wabunge kwamba kwanza, dhahabu haijauzwa. Mpaka sasa hakuna dhahabu iliyouzwa. Dhahabu hii haitunzwi kwa biashara; dhahabu hii sasa ni sehemu ya sera za kifedha za nchi kama ilivyo dola na inatumika kama chombo cha kuendeshea sera za kifedha za nchi.” — Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.

Amesema hayo wakati akijibu swali la Mheshimiwa Esther Matiko, Mbunge wa Tarime Mjini, kuhusu utaratibu wa ununuzi na uhifadhi wa dhahabu katika Benki Kuu ya Tanzania (BOT), katika kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma.

Share Story

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *