Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Alhamisi, Juni 18, 2026, amesafiri kwa treni ya kisasa ya Standard Gauge Railway (SGR) kutoka Dodoma kwenda Dar es Salaam kwa shughuli za kikazi. Katika safari hiyo ameambatana na Mwenza wake, Mama Neema Mwigulu Nchemba.

Share Story

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *