415a80f4-3d6a-4fa0-8224-6c7df7d53ae9

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Tanzania inazalisha chakula kinachozidi mahitaji yake kwa takribani asilimia 33, ikiwa na ziada ya zaidi ya tani milioni 6.6 inayosaidia kukidhi mahitaji ya nchi jirani.

Amesema hayo Oktoba 22, 2026, alipohutubia Mjadala wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug Dialogue), jijini Des Moines, Marekani. Ameeleza kuwa uwekezaji wa Serikali katika kilimo umechangia mafanikio hayo.

Share Story

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *