c1900473-058c-4f99-a605-cfc09d2f8cb8Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema usalama wa chakula ni msingi wa usalama wa taifa na uthabiti wa uchumi. Amesisitiza kuwa wakulima wawezeshwe kupata mitaji, teknolojia, pembejeo bora na masoko ili kuimarisha uzalishaji.
Amesema hayo Oktoba 22, 2026, alipohutubia Mjadala wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug Dialogue), jijini Des Moines, Marekani.