01
Feb

NORWAY IMEONESHA NIA YA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA

Norway imeonesha nia ya kushirikiana na Tanzania katika kukijengea uwezo Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi ili...

Read More
01
Feb

MIKOPO YA KAUSHA DAMU INAYOSUMBUA WANANCHI NA KUKIUKA SHERIA IMEFUTIWA LESENI

“Alipoingia Dkt. Samia alielekeza kuondoa usumbufu huu ambao Wananchi wanaupata na akamuelekeza Gavana wa Benki kuu na Idara inayosimamia Microfinance...

Read More
31
Jan

TUNZENI KUMBUKUMBU NA NYARAKA MUHIMU KWAJILI YA FIDIA

Serikali imewataka wananchi kutunza kumbukumbu na nyaraka muhimu za rejea ili kuondoa usumbufu na kurahisisha zoezi la ulipaji fidia hususan...

Read More
30
Jan

TUMIENI TAASISI RASMI ZA FEDHA KUFANYA MIAMALA YA KIBIASHARA

Serikali imewataka Wananchi na wafanyabiashara katika mipaka ya Tanzania na nchi jirani kutumia taasisi rasmi za fedha zikiwemo benki za...

Read More
30
Jan

DKT NCHEMBA MADENI YA MAKANDARASI NA WAZABUNI YAMELIPWA

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), ameliambia Bunge, Mjini Dodoma kuwa katika kipindi cha Mwaka wa...

Read More
30
Jan

SERIKALI YAWALIPA WAZABUNI TRIL 2.1 KWA MWAKA 2016 HADI 2023

Na. Khadija Ibrahim, WF, Dodoma Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), ameliambia Bunge, Mjini Dodoma kuwa...

Read More
30
Jan

TANZANIA YAPOKEA MSAADA WA Sh. TRIL 1.4 KUTOKA GLOBAL FUND

Tanzania na Global Fund zimesaini Mikataba minne ya misaada yenye thamani ya dola za Marekani milioni 606.9 (sawa na zaidi...

Read More
25
Jan

VODACOM YAIPONGEZA SERIKALI KUONDOA TOZO ZA MIAMALA YA SIMU KWANI IMEKUZA BIASHARA

Na Benny Mwaipaja, Dodoma   Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba ameahidi kuwa Serikali itaendelea kuboresha sera za...

Read More
24
Jan

DKT MWIGULU AISHAURI ANGLO GOLD ASHANTI KUIUZIA BOT DHAHABU

WAZIRI wa Fedha, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), ameushauri uongozi wa Kampuni ya Uchimbaji Dhahabu ya Anglo Gold...

Read More
23
Jan

DKT NCHEMBA AZINDUA TAASISI YA USULUHISHI WA MALALAMIKO YA KIKODI

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) ameiagiza Ofisi ya Usuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za kodi...

Read More