24
Jan

DKT MWIGULU AISHAURI ANGLO GOLD ASHANTI KUIUZIA BOT DHAHABU

WAZIRI wa Fedha, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), ameushauri uongozi wa Kampuni ya Uchimbaji Dhahabu ya Anglo Gold...

Read More
23
Jan

DKT NCHEMBA AZINDUA TAASISI YA USULUHISHI WA MALALAMIKO YA KIKODI

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) ameiagiza Ofisi ya Usuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za kodi...

Read More
07
Jan

WAKANDARASI WA NDANI KUNUFAIKA NA MIRADI YA SERIKALI

Na. Peter Haule, WF, Dodoma Serikali imeweka kwenye Sheria kiwango cha thamani ya miradi iliyokuwa ikitekelezwa na wazawa kutoka shilingi...

Read More
06
Dec

TANZANIA KUONGEZA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA ZA KIPAUMBELE

Na. Joseph Mahumi, WF, Zanzibar   Serikali ya Tanzania inalenga kuongeza uwekezaji katika sekta za kipaumbele ikiwemo sekta ya Elimu,...

Read More
21
Nov

WAKANDARASI WA NDANI KUNUFAIKA NA MIRADI YA SERIKALI

Serikali imeweka kwenye Sheria kiwango cha thamani ya miradi iliyokuwa ikitekelezwa na wazawa kutoka shilingi bilioni 10 hadi shilingi bilioni...

Read More
12
Nov

FEDHA ZILIZOPO KWENYE MASHAURI TRAB NA TRAT SIO ZA SERIKALI

Na. Peter Haule, WF, Dodoma Serikali imesema inajenga uhusiano mzuri na wafanyabiashara kwa kutotumia fedha zilizopo kwenye mashauri yanayobishaniwa katika...

Read More
08
Nov

SERIKALI YAWEKA UKOMO BEI ZA UNUNUZI WA BIDHAA

Serikali imeeleza kuwa imeweka ukomo wa bei za bidhaa ambazo Serikali inanunua kwa kuzingatia bei za soko ili kudhibiti ununuzi...

Read More
08
Nov

DKT. NCHEMBA: WENYE CHANGAMOTO ZA KULIPA KODI ZA MAJENGO WAFIKE TRA

Serikali imewataka wamiliki wote wa majengo wenye changamoto za ulipaji kodi ya majengo kupitia ununuzi wa umeme ikiwa ni pamoja...

Read More
06
Nov

DKT. NCHEMBA AWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA MWONGOZO WA BAJETI 2024/25

Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) amesema kuwa Serikali inatarajia kukusanya na kutumia jumla ya shilingi tilioni...

Read More