MBEYA WAMPONGEZA WASEMA HAPO NDIPO PENYEWE
Wananchi Wapongeza Maelekezo ya Waziri Mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba kutaka Vyombo vya moto VISIVYOHUSIKA na Makosa makubwa visiendelee kushikiliwa POLISI badala yake virudishwe kwa wamiliki wanao tambulika wakavitumie ili kutafuta fedha ya kulipa Faini hizo.
KARIBU UTAZAME VIDEO HII