WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, akiwasalimia wananchi wa Idofi, wilayani Makambako, mkoani Njombe, ambako amepokea taarifa ya mradi wa umwagiliaji na soko la mbogamboga, pamoja na kusikiliza changamoto mbalimbali za wananchi wa eneo hilo.

Waziri Mkuu ameanza ziara yake leo, Mei 2, 2026, katika mikoa ya Iringa na Njombe.

Share Story

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *