WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Mei 7, 2026 amesafiri kwa Treni ya reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) kutoka jijini Dodoma kuelekea Morogoro ambapo kesho Mei 8, 2026 anatarajiwa kuwa na ziara ya kikazi mkoani humo.
Mheshimiwa Dkt. Mwigulu ameambatana na Waziri wa Nchi- Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) Prof. Palamagamba Kabudi, pamoja na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Ashatu Kijaji.*DKT. MWIGULU AELEKEA MOROGORO KWA ZIARA YA KIKAZI
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Mei 7, 2026

amesafiri kwa Treni ya reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) kutoka jijini Dodoma kuelekea Morogoro ambapo kesho Mei 8, 2026 anatarajiwa kuwa na ziara ya kikazi mkoani humo.
Mheshimiwa Dkt. Mwigulu ameambatana na Waziri wa Nchi- Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) Prof. Palamagamba Kabudi, pamoja na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Ashatu Kijaji.