Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu NCHEMBA akiwa ziarani Kondoa Mkoani Dodoma kwa uchungu ameagiza kukamatwa mtuhumiwa anayetajwa kuhusika na kitendo cha unyanyasaji wa kijinsia kwa mtoto wa miaka mitano.

Mkasa huu ulitajwa na Bi zaitun Issa mama mzazi wa mtoto huyo mbele ya Waziri Mkuu alipokuwa akisikiliza changamoto mbalimbali za wananchi katika wilaya ya Kondoa.

Baada ya maagizo hayo Bi Zaituni amemshukuru Waziri Mkuu kwa kumpatia tabasamu la haki ya mtoto wake.

Tazama kipande hiki cha Video

Share Story

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *