Asilimia 20 ya mapato yanayotokana na mazao ya kilimo inapaswa kuelekezwa katika ujenzi wa maghala kwenye maeneo ya uzalishaji ili wakulima wasipate shida ya kusafirisha mazao yao umbali mrefu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

📍Dodoma-Tanzania
🗓️Mei 19, 2026

—————————————————

Amesema hayo leo alipokuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya miaka 20 ya Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) yaliyofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma.

Share Story

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *