611b3b92-ae67-4cbe-9c1a-1438fe81afa4

Sumbawanga – RUKWA

Wananchi na Wafanyabiashara wa Soko la Mandela Wilayani Sumbawanga Mkoani Rukwa wamepongeza hatua ya haraka ya utekelezaji wa maagizo ya Waziri Mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba ya kupiga marufuku Uuzaji wa mazao yote kwa njia ya lumbesa na sasa ni mfumo wa vipimo unatumia.

Akiwa ziarani mkoa wa Rukwa Mwezi machi, Waziri Mkuu alitoa maelekezo ya kuhakikisha wakulima na Wafanyabiashara ya mazao hawaodhulumiwi wala kuibiwa mazao kwa vipimo laghai, jambo ambalo limetekelezwa na sasa wameanza kuona faida ya nguvu Zao mashambani.

*Tazama kipande hiki cha Video*

Share Story

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *