Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 14, 2026, ameshiriki maadhimisho ya kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru 2026 yaliyofanyika katika Uwanja wa Nelson Mandela, mjini Sumbawanga, mkoani Rukwa.

Katika maadhimisho hayo, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Share Story

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *