23
Jan

WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA KUSUKUMA NA KUHIFADHI MAJI MWANZA

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Miundombinu ya Kusukuma na Kuhifadhi Maji...

Read More
23
Jan

WATENDAJI KITUO CHA UOKOZI MWANZA WATAKIWA KUTOA HUDUMA ZA DHARURA KWA SAA 24

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa maagizo kwa watendaji wa Kituo cha Kuratibu Utafutaji na Uokozi cha Kikanda – Mwanza,...

Read More
23
Jan

WAZIRI MKUU AWASILI MWANZA KWA ZIARA YA KIKAZI

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Januari 23, 2026 amewasili mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi. Katika ziara hiyo, Waziri...

Read More
22
Jan

TUNATAKA KAZI ZA SERIKALI ZIFANYIKE MAKAO MAKUU YA NCHI-DKT. MWIGULU.

Asisitiza Taasisi za Serikali zinapaswa kufahamu kwamba makao makuu ya nchi ni Dodoma_ WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa...

Read More
22
Jan

WAZIRI MKUU AONGOZA MKUTANO KAZI WA MAWAZIRI, MANAIBU MAWAZIRI

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameongoza mkutano kazi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu na Viongozi Waandamizi wa Serikali uliofanyika leo Januari...

Read More
20
Jan

DKT. MWIGULU AFANYA MAZUNGUMZO NA MHANDISI MASAUNI.

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 20,2026 amefanya mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais -...

Read More
20
Jan

DKT. MWIGULU AKUTANA NA GAVANA WA BENKI KUU YA TANZANIA

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 20,2026 amefanya mazungumzo na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Dkt. Emmanuel Tutuba,...

Read More
20
Jan

WAZIRI MKUU AMEFANYA MAZUNGUMZO NA ASKOFU MKUU WA KANISA LA ANGLIKANA TANZANIA

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 19, 2026 amefanya mazungumzo na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Dkt....

Read More
18
Jan

SERIKALI ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA VIONGOZI WA DINI-DKT. MWIGULU

Asema lengo ni kujenga Taifa lenye hofu ya Mungu, upendo, haki na uwajibikaji_ WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari...

Read More
18
Jan

WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO KAZI KUHUSU MASUALA YA WAFANYAKAZI

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiongoza kikao kazi kuhusu masuala ya wafanyakazi, ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Januari...

Read More