23
Apr

MHE. DKT. NCHEMBA ATETA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA AfG1-IMF

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) amesema kuwa Tanzania imejipanga kukabiliana na mabadiliko ya sera za nje...

Read More
21
Apr

DKT. NCHEMBA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA MIKUTANO YA KIPUPWE YA IMF NA BENKI YA DUNIA, JIJINI WASHINGTON

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amewasili Washington D.C nchini Marekani, ambako anaongoza ujumbe wa Tanzania katika...

Read More
21
Apr

IMF YAKUNWA NA UTEKELEZAJI MIPANGO YA TANZANIA YA KUKUZA UCHUMI NA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amelihakikishia Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwamba, Serikali itaendelea kufanya...

Read More
21
Apr

DKT. NCHEMBA ATETA NA MWAKILISHI MKAZI (UN WOMEN)

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la...

Read More
16
Apr

FEDHA ZISIZOTUMIKA HADI MWISHO WA MWAKA KURUDI MFUKO MKUU WA SERIKALI

Serikali imesema kuwa fedha ambazo hazijatumika hadi mwisho wa mwaka hurudi Mfuko Mkuu wa Serikali ikiwa ni utaratibu wa kusimamia...

Read More
15
Apr

DKT. NCHEMBA: HAKUNA SEKTA ITAKAYOKOSA FEDHA KUTOKANA NA MABALILIKO YA SERA

Serikali imewahakikishia Watanzania kuwa hakutakuwa na sekta itakayokosa fedha kwa sababu ya mabadiliko ya sera ya baadhi ya mataifa zinazolenga...

Read More
15
Apr

WAZIRI MKUU AFUNGUA KIKAO KAZI CHA KUDHIBITI FEDHA HARAMU

Waziri wa Fedha, Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), ameshiriki hafla ya Ufunguzi wa Kikao cha ngazi ya Juu cha...

Read More
11
Apr

POLAND YAONESHA NIA KUSHIRIKI UJENZI WA SGR

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ameishukuru Serikali ya Poland kupitia Shirika lake la Bima (KUKE), kwa...

Read More
10
Apr

MIUNDOMBINU YA RELI KUCHOCHEA UKUAJI WA UCHUMI

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) amesema kuwa Serikali inaweka nguvu katika masuala ya ujenzi wa miundombinu...

Read More
07
Apr

DKT. NCHEMBA: TANZANIA NA POLAND KUIMARISHA ZAIDI UHUSIANO WA KIUCHUMI

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje...

Read More