24
Mar

DKT NCHEMBA KUWA MGENI RASMI UTIWAJI SAINI MKATABA WA MRADI WA MAJI TUNDUMA-VWAWA MKOANI SONGWE

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), usiku wa leo 19 Machi, 2025, amewasili Jijini Mbeya, kwa ajili...

Read More
14
Mar

DKT. NCHEMBA ATETA NA VIONGOZI WA UNAFRI- JIJINI KAMPALA

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Uwakilishi kutoka Shirika la Kikanda la Umoja...

Read More
14
Mar

DKT. NCHEMBA ATETA NA WAZIRI WA UCHUKUZI UGANDA

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amekutana na kufanya Mazungumzo na Waziri wa Uchukuzi wa Uganda, Jenerali...

Read More
12
Mar

DKT. NCHEMBA ATETA NA UJUMBE WA CRCC

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba ((Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Kampuni ya Ujezi wa...

Read More
12
Mar

DKT. NCHEMBA NA PROF KITILA WAWASILISHA MAPENDEKEZO YA MPANGO NA KIWANGO MFUMO NA UKOMO WA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2025/2026.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Mhe....

Read More
12
Mar

DKT. NCHEMBA AWASILISHA MAPENDEKEZO YA MFUMO NA UKOMO WA BAJETI KWA MWAKA 2025/2026.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amewasilisha Mapendekezo ya Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa...

Read More
08
Mar

DKT. NCHEMBA AKUTANA NA KAMISHNA MPYA WA FIU

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti Fedha...

Read More
08
Mar

DKT. NCHEMBA AKUTANA NA MTAKWIMU MKUU MPYA WA SERIKALI

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Mtakwimu Mkuu Mpya wa Serikali, Dkt....

Read More
06
Mar

DKT NCHEMBA AHIMIZA MATUMIZI YA KIDIGITALI KUFANYA MIAMALA

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amefungua Mhadhara wa 9 wa Kumbukumbu ya aliyekuwa Gavana wa Benki...

Read More
05
Mar

DKT. NCHEMBA ATETA NA UONGOZI WA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI WA AFRIKA MASHARIKI

  Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Mradi wa Bomba...

Read More