12
Jan

WAZIRI MKUU AONGOZA MKUTANO KAZI WA MAWAZIRI.

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameongoza mkutano kazi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu na Viongozi Waandamizi wa Serikali uliofanyika, Januari 12,...

Read More
12
Jan

WAZIRI MKUU ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI KATIKA KANISA LA KKKT (DMP) USHARIKA WA AZANIA FRONT

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameshiriki ibada ya Jumapili, leo, tarehe 11 Januari 2026, katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri...

Read More
09
Jan

DKT. MWIGULU ANAZUNGUMZA NA MACHINGA, MADEREVA PIKIPIKI NA BAJAJI

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo 08 Januari 2026, anazungumza na Wamachinga pamoja na madereva wa pikipiki na bajaji za...

Read More
06
Jan

DKT. MWIGULU AFUNGUA SKULI YA CHUKWANI, ZANZIBAR

Ampongeza Dkt. Mwinyi kwa uwekezaji katika sekta ya Elimu._ WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 05, 2026 amefungua Skuli...

Read More
04
Jan

DKT. MWIGULU AKUTANA NA MAWAZIRI WA MAJI NA FEDHA

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Januari 03, 2026 amefanya mazungumzo na Waziri wa Maji, Jumaa Aweso  na Waziri wa Fedha,...

Read More
03
Jan

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (kulia kwake) na Waziri wa Fedha, Balozi, Khamis...

Read More
02
Jan

DKT. MWIGULU AKAGUA MAENDELEO MRADI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA

Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba leo Januari 02, 2026 amekagua maendeleo ya ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda lililopo Mkoani...

Read More
02
Jan

DKT. MWIGULU AZUNGUMZA NA WANANCHI WALIOATHIRIWA NA MVUA KILOSA.

Autaja mradi wa ujenzi wa mabwawa ya kuhifadhi maji ya Mvua eneo la Kidete._ Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo...

Read More
02
Jan

DKT. MWIGULU AKAGUA ATHARI ZA MVUA, KIDETE

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 02, 2026 amekagua hali ya athari iliyosababishwa na mvua katika eneo la kidete,...

Read More
02
Jan

WAZIRI MKUU AELEKEA MOROGORO KWA ZIARA YA KIKAZI.

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 02, 2026 ameelekea Mkoani Morogoro kwa ziara ya kikazi ambapo atakagua maendeleo ya...

Read More