27
May

WAZIRI MKUU AKUTANA NA PROF. JANABI BRAZZAVILLE

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika (WHO AFRO), Profesa...

Read More
27
May

TANZANIA YAPIGIWA MFANO MAGEUZI YA KISERA, USIMAMIZI WA KODI

Ni katika mdahalo maalum kwenye Mkutano wa Mwaka wa AfDB WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameshiriki mdahalo maalum wa uzinduzi...

Read More
26
May

DKT. MWIGULU ASHIRIKI MKUTANO WA NGAZI YA WAKUU WA NCHI JIJINI BRAZZAVILLE

Rais wa Congo aufungua, ataka Afrika iwanufaishe wananchi wake WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameshiriki Mkutano wa 61 wa Mwaka...

Read More
26
May

WAZIRI MKUU ATETA NA RAIS WA BENKI YA AfDB

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya mazungumzo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Sidi Ould Tah...

Read More
25
May

DKT. MWIGULU AWASILI NCHINI JAMHURI YA KONGO

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maya Maya jijini Brazzaville, nchini Jamhuri ya...

Read More
25
May

DKT. MWIGULU KUMWAKILISHA RAIS SAMIA CONGO BRAZAVILLE

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameondoka nchini leo (Jumatatu, Mei 25, 2026) kwenda Brazzaville, Jamhuri ya Kongo kumwakilisha Rais Dkt....

Read More
24
May

WAZIRI MKUU AHIMIZA MALEZI YA KIMAADILI NA USHIRIKIANO WA KIJAMII

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema jamii inapaswa kurejea katika misingi ya malezi ya pamoja na uwajibikaji wa kijamii ili...

Read More
24
May

WAZIRI MKUU: MIRADI YA BARABARA NI UFUNGUO WA UCHUMI WA WANANCHI

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kuwekeza katika miradi ya barabara nchini kwa kuwa ndiyo msingi wa kufungua...

Read More
23
May

WAZIRI MKUU AAGIZA KASI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO IRINGA

_▪️Aagiza viongozi kusikiliza na kutatua kero za wananchi kwa wakati_* _▪️Apiga marufuku kushikiliwa kwa vitendea kazi vya wananchi kwa makosa...

Read More
23
May

WAZIRI MKUU AVITAKA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA KUWA MACHO DHIDI YA WAVUNJA AMANI

_▪️Aonya dhidi ya vitendo vya uchochezi, kujiteka na propaganda zinazolenga kuwagombanisha Watanzania_ _▪️Asema Serikali imejikita kusikiliza wananchi na kutatua kero...

Read More