Waziri wa Fedha, Dkt Mwigulu Nchemba amehudhuria hafla ya uapisho wa viongozi mbalimbali iliyoongozwa na ‪Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi Wateule kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu, Zanzibar tarehe 05 Julai , 2024.

Viongozi hao walioapa ni: Mhe. Dkt. Selemani Saidi Jafo (Mb) Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Yahya Ismail Samamba Katibu Mkuu Wizara ya Madini na Bw. Yusuph Juma Mwenda Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Share Story