Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Des Moines, Jimbo la Iowa, nchini Marekani, Oktoba 18, 2026, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug Dialogue), utakaofanyika Oktoba 20–22, 2026.

Share Story

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *