WAZIRI MKUU: TUEPUKE MIGOGORO NA MIZOZO
_Asema kuna miradi inakwama utekelezaji sababu ya migawanyiko_ WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka viongozi wa Mamlaka za Serikali za...
Read MoreTASNIA YA MAZAO YA BUSTANI NI SEKTA YA KIMKAKATI-DKT. MWIGULU
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa tasnia ya mazao ya bustani siyo tu sehemu ya sekta ya kilimo, bali...
Read MoreWAZIRI MKUU ATIMIZA AHADI YA KUMPATIA KITIMWENDO HELENA JOSEPH
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo (Aprili 20, 2026) amemkabidhi kitimwendo Helena Joseph Mwandu (mwenye mahitaji maalum), Ofisini kwa Waziri...
Read MoreWAZIRI MKUU ATOA AGIZO KWA WATENDAJI SERIKALINI
Awataka wahakikishe miradi inasimamiwa na kuleta tija iliyokusudiwa WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watendaji wa Serikali wanajukumu la kuhakikisha...
Read MoreWAZIRI MKUU APONGEZA MCHANGO WA WANAWAKE UKUAJI WA UCHUMI
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amewapongeza wanawake nchini kutokana na mchango mkubwa wanaoutoa katika kukuza uchumi uchumi wao binafsi na...
Read MoreWAZIRI MKUU AKAGUA MADHARA YA MOTO SOKO LA SIMU 2000, AAGIZA HATUA ZA HARAKA KUREJESHA BIASHARA
_Asema Serikali itatoa kauli baada ya uchunguzi_ _Aagiza vibanda vipya vigawiwe kwa wafanyabiashara halisi_ WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameagiza...
Read MoreWAZIRI MKUU ASHIRIKI TAMASHA LA MTOKO WA PASAKA, ASISITIZA AMANI
_Atoa pole kwa wafanyabiashara wa Soko la Mawasiliano (Simu 2000) waliopata ajali ya moto_ Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo...
Read MoreSH. TRILIONI 1.77 ZAHITAJIKA KUKIDHI MIUNDOMBINU YA ELIMU MWAKA 2028
JUMLA ya sh. trilioni 1.77 zinahitajika kwa ajili ya ujenzi wa madarasa, maabara, ajira mpya za walimu, ruzuku ya mitihani,...
Read MoreUTEKELEZAJI WA DIRA 2050 UANZE – DKT. MWIGULU
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza kuanza utekelezaji wa Dira 2050 kupitia Mpango na Bajeti iliyoandaliwa na kuendelea kuishirikisha sekta...
Read MoreMHESHIMIWA LUKUVI ATAKUMBUKWA KWA MENGI -WAZIRI MKUU
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu)...
Read More









