18
May

WAZIRI MKUU AMUAGA MKURUGENZI MKAZI WA BENKI YA DUNIA KANDA YA MALAWI, TANZANIA, ZAMBIA NA ZIMBABWE

▪️Apongeza mchango wake katika maendeleo nchini. WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Mei 17, 2026 ameshiriki katika hafla ya kumuaga...

Read More
17
May

DKT. MWIGULU AWAHAKIKISHIA WANANCHI KASI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI

_▪️ Asema utekelezaji wa Bwawa la Farkwa kuanza baada ya kukamilika kwa taratibu za manunuzi_ _▪️ Aagiza kukomeshwa kwa ukamataji...

Read More
17
May

DKT. MWIGULU ASISITIZA KUKAMILIKA KWA MRADI WA MAJI CHEMBA

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kuhakikisha Mradi wa Maji wa Miji 28 katika Mji wa Chemba unakamilika...

Read More
17
May

DKT. MWIGULU AHIMIZA WANANCHI KUIOMBEA AMANI YA NCHI

WAZIRI MKUU, amewahimiza wananchi kuendelea kuiombea Tanzania ili amani, umoja na mshikamano wa kitaifa viendelee kuimarika sambamba na nchi kuendelea...

Read More
16
May

SERIKALI KUONGEZA AJIRA ZA WALIMU KUPITIA MTAALA MPYA WA ELIMU

_▪️Dkt. Mwigulu asema elimu ya lazima kuwa miaka 10 kuanzia 2028_ _▪️Asema kila kijiji kitakuwa na sekondari_ _▪️Walimu wa kujitolea...

Read More
16
May

SERIKALI YAPANGA MABORESHO YA MFUMO WA STAKABADHI GHALANI

_▪︎ Dkt. Mwigulu asema maghala yawafuate wakulima badala ya wakulima kufuata maghala_ _▪︎ Serikali kuitisha kikao maalumu cha mikoa inayozalisha...

Read More
15
May

WAZIRI MKUU AKUTANA NA WABUNGE WA MIKOA YA MWANZA, MARA NA SIMIYU.

_▪️Wajadili mipango endelevu ya ujenzi wa miundombinu_ WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na kufanya kikao kazi na wabunge wa...

Read More
14
May

MSIZUIE WANAFUNZI KUFANYA MITIHANI-DKT. MWIGULU

[video width="640" height="360" mp4="https://www.mwigulunchemba.com/wp-content/uploads/2026/05/VID-20260514-WA0012.mp4"][/video] _Asema Serikali itaendelea kuongeza fedha za mikopo ya elimu ya juu_ WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba...

Read More
14
May

SERIKALI KUJENGA UWANJA WA KIMATAIFA MWANZA

▪︎ Dkt. Mwigulu asema Serikali imejipanga kujenga jengo lenye hadhi ya kimataifa ▪︎ Asema Mwanza itaendelea kuwa kitovu muhimu cha...

Read More
13
May

TANZANIA YAWEKA KIPAUMBELE UWEKEZAJI WA VIWANDA VYA DAWA – DKT. MWIGULU

_▪︎ Asema Serikali inalenga kupunguza utegemezi wa kuagiza dawa kutoka nje_ _▪︎ Aisisitiza Afrika kuongeza thamani ya malighafi na kuimarisha...

Read More