08
Jul

DKT. NCHEMBA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA MITATU YA KWSC

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba , ameshiriki Maadhimisho ya Miaka Mitatu (3) ya kuanzishwa kwa Kituo cha...

Read More
01
Jul

DKT. NCHEMBA AWASISITIZA WATUMISHI KUSIMAMIA UCHUMI.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amewaagiza viongozi na watumishi wa Wizara hiyo kuendelea kufanya kazi kwa...

Read More
01
Jul

MHE. DKT. NCHEMBA ASHIRIKI HARAMBE KUU KANISA LA KKKT KANDA YA KATI

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, ameshiriki Harambee Kuu ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kati...

Read More
15
Jun

DKT. NCHEMBA AMUAGA DKT. ADESINA

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ((Mb), ameungana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

Read More
15
Jun

DKT. NCHEMBA: RAIS WA AfDB DKT. AKINWUMI ADESINA NI MWANA THABITI WA AFRIKA

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), ameshuhudia tukio la kumtunuku Dkt. Akinwumi Adesina, Rais anayeondoka wa Benki ya...

Read More
13
Jun

DKT. NCHEMBA: SH. TRILIONI 56.49 KUTEKELEZA BAJETI 2025/26.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amewasilisha Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali, ambapo ameliomba Bunge ridhaa...

Read More
09
Jun

TANZANIA NA NORWAY KUIMARISHA USHIRIKIANO

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amesema kuwa ushirikiano kati ya Tanzania na Norway umefanikisha utekelezaji wa...

Read More
06
Jun

DKT. NCHEMBA AZITAKA TAASISI ZA FEDHA KUJIUNGA NA MFUMO WA SEMA NA BOT

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ameiagiza Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kusimamia na kuhakikisha Benki na...

Read More
06
Jun

TANZANIA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA CANADA

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amesema kuwa ushirikiano kati ya Tanzania na Canada umefanikisha utekelezaji wa...

Read More
04
Jun

KISHINDO BAJETI WIZARA YA FEDHA 2025/26 IKIPITA

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha kwa kishindo bajeti ya Wizara ya Fedha kwa Mwaka wa Fedha 2025-2026...

Read More