WAZIRI MKUU KUMWAKILISHA MHE.RAIS KWENYE MSIBA WA LUKUVI
Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba leo Machi 31, 2026 amewasili Iringa Mjini akiwa njiani kwenda Idodi kumuwakilisha Rais Dkt. Samia...
Read MoreWAZIRI MKUU: COCO BEACH HAIUZWI, NI YA WANANCHI
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa ufafanuzi rasmi kuhusu hatma ya eneo la Coco Beach, akisisitiza kuwa halitauzwa kwa mwekezaji...
Read MoreDKT. MWIGULU: MHESHIMIWA LUKUVI ALIKUWA MSHAURI KWA WATU WENGI
_Asema alikuwa na kiwango cha juu cha kujitolea_ WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema enzi ya uhai wake, aliyekuwa Waziri...
Read MoreFANYENI TAFITI, TUMIENI TAKWIMU SAHIHI – WAZIRI MKUU
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka watayarishaji wa vipindi vya elimu kwa umma kupitia Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wahakikishe...
Read MoreWAZIRI MKUU AAGIZA UCHUNGUZI WA UNUNUZI WA MABATI 4,000 MABOVU KATIKA UJENZI WA SHULE YA KATAVI BOYS
_Aagiza mkandarasi na watumishi waliohusika wakamatwe mpaka fedha zitakaporejeshwa_ _Ataka viongozi waliohusika na ubadhirifu wa mbolea za milioni 91 waondolewe...
Read MoreWAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA JENGO LA HUDUMA (WING B) HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA KATAVI
_Aagiza mradi ukamilike kwa wakati na ubora, asisitiza malipo kwa wafanyakazi wa mradi yafanyike kwa wakati_ _Awapongeza watumishi wa afya...
Read MoreWAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA SEKONDARI MGOMBE YENYE MKONDO WA AMALI YA KIHANDISI, KATAVI
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 15, 2026 ameweka jiwe la msingi la Shule ya Sekondari Mgombe yenye mkondo...
Read MoreWAZIRI MKUU AAGIZA UCHUNGUZI WA MFUMO WA UPATIKANAJI WA DAWA HOSPITALINI
Akemea watumishi wanaowaelekeza wananchi kununua dawa nje ya hospitali_ _Aonya utapeli wa ardhi za vijiji_ _Akemea wakandarasi wanaolipwa fedha za...
Read MoreWAZIRI MKUU ASISITIZA AMANI, MAADILI NA USHIRIKIANO NA TAASISI ZA DINI
Asema taasisi za dini nguzo ya maadili na amani nchini_ _Aonya migogoro ya ardhi inaweza kuvuruga mshikamano wa Taifa_ WAZIRI...
Read MoreMAPATO YA NDANI YATUMIKE KULIPA WALIMU WANAOJITOLEA – DKT. MWIGULU
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameziagiza Halmashauri zote nchini kutumia mapato ya ndani kulipa walimu wanaojitolea katika shule mbalimbali badala...
Read More









